Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wana JF tafadhali jamani naomben msaada ama maelekezo namna ya kuunda email .ni hayo tu wapendwa.
0 Reactions
3 Replies
16K Views
Wakuu habarini poleni na majukumu..! Nimekutana na Changamoto. Ktk simu ya yangu ya Android ya kutopata notification za whatsapp na baadhi ya Application kama Live score.. Pale ambapo sipo katika...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu, natumia simu aina ya tecno Y3+, nahitaji kujua namna ya kuiweka namba blacklist kwa kutumia simu hii, naweza kufanyaje? Ama mtu akiwa ananipigia cm yake ikate tu.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu simu yangu ni TECNO W 4 haipigi vibration hata nikiiweka kwenye vibration
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Baada ya kuroot simu ya huawei kestrel G 535 imeandika neno unfortunately huawei home is stopped na app zingine ila nikitouch OK kwenye zingine neno hilo linatoka ila mwisho linabaki la huawei...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kila nikigusa picha badala ya kufunguka ninaletewa screen ya "send a crash report" Hivyo nashindwa kabisa kuona attachments zote. Naomba msaada wa kuondoa tatizo hili.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Heshima kwenu wataalam wa jukwaa....Nina laptop nimenunua Jana ni HP ...ila inashika sana moto kama techno vile NA pia inavuma sana....pia nimeichunguza haina mlango wa CD ...VP wakuu maana jamaa...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wakuu naomba msaada wenu tangu jana Tv yangu SUMSUNG series 5 haioneshi (Display) chochote. sijui tatizo nini?
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Wakuu msaada unahitajika kama heading inavyosomeka. Habari wakuu, wana Gadgets! Ni simu ya Android version 4.3, napenda niongeze version pamoja na kuongeza ROM. Nimejaribu ku update kawaida...
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Wakuu naombeni msaada wa jinsi gani naweza kurekebisha keyboard ya kwenye PC yangu ili iweze kufanya kazi kama kawaida, aina ya PC ni lenovo na inatumia window 8.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu niko na sim yangu hata kama nimei lock ila, ukiiwasha ipo sehemu ya kupiga picha(camera). Hivi tatizo inakuaje???
0 Reactions
1 Replies
457 Views
Hivi kwanini wanao fanya biashara mitandaoni (ONLINE BUSNESS) za simu unaweza ukauliza simu fulani ipo na ukaambiwa ipo pia anakupigia na picha kabisa ya simu unayo ihitaji cha ajabu ime number...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Jaman naomba mwenye faili la cm tajwa hapo juu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna Simu kila wakati inaandika hivi sijui tatizo ninini kwa maana nime jaribu kui restore lakini ime goma mwenye kujua anifahamishe. Nitangulize heshima kwenu
0 Reactions
4 Replies
664 Views
Habari wakuu. Naomba mwenye ujuzi wa kudesign games anijulishe. Asante
0 Reactions
2 Replies
726 Views
Tablet yangu s7 haiwaki, ilianza kwa ku stack. In built in battery hivyo si rahisi kutoa battery na kuiwasha upya. Msaada nifanyeje
0 Reactions
3 Replies
683 Views
Naomba mnisaidie nini maana phone rooting pia naomba msaada jinc ya ku root sim zangu za halotel, Samsung galaxy j1 na samsung GT S6802
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu. Ninatumia sim tajwa hapo, bahati mbaya niliidondosha na kuvunjika kioo .Hii sim nilipewa na ndg yangu toka US. Je naweza pata hiyo screen au ndio basi tena. Nawakilisha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wanaopenda kupakua movie mtandaoni bure, pop corn time , ipo kwa ajili yako. Ni program isiyopatikana play store. Unatakiwa ku google kupata set up zake. Now its your time !!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…