Msaada namna ya kutumia simu

GIPAMA

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,103
541
Ndugu, natumia simu aina ya tecno Y3+, nahitaji kujua namna ya kuiweka namba blacklist kwa kutumia simu hii, naweza kufanyaje? Ama mtu akiwa ananipigia cm yake ikate tu.
 
Sas cmu umenunua ya nn km hutak kupigiwa??,,,kwa msaada tu ucjisumbue kujua kuwek blacklist kikubwa usiiweke tu line hawatokupigia,,,,
Kama hujui unakaa kimya, lengo c kutaka kupigiwa cm na kila mtu, lengo ni kuepuka usumbufu huo kwa baadhi ya watu hasa ninapokuwa katika majukumu yangu.......
 
Wataalam mmenyweaaa, ama hii kitu haiwezekani?
 
Ni simu chache chache sana za tecno zenye option ya kumuweka mtu blacklist hasa hasa za nyuma kidogo.
Hivyo sidhani kama tecno y3+ inaweza kuwa na hiyo option.

Download app ya blacklist playstore itatatua tatizo.
 
Nilitegemea majibu ya akili kama haya na si yale pale juu........!!
 
Sio kwamba haiwezekani mkuu sema tu hizo simu hazina hiyo option ya blacklist cha kufanya we ingia duka la Play store au Google "Blacklist apk" utafute hizo app za blacklist zimejaa nyingi ushindwe ww tu.
 
Ndugu, natumia simu aina ya tecno Y3+, nahitaji kujua namna ya kuiweka namba blacklist kwa kutumia simu hii, naweza kufanyaje? Ama mtu akiwa ananipigia cm yake ikate tu.
Mkuu apps download co lazima km hutojali copy hio # ya MTU anaekusumbua kutoka kwny lain weka sim contact kabisa,,,,alaf ifungue hio # fungua options za contact utaona block incoming call weka tick.....kazi imeish Enjoy lyf
 
Cjakuelewa mkuuu
 
Hii kitu haipo mkuu, kwa upande wa simu yangu......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom