Msaada: Keyboard ya PC haifanyi kazi

Msaada: Keyboard ya PC haifanyi kazi

Nfumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
610
Reaction score
699
Wakuu naombeni msaada wa jinsi gani naweza kurekebisha keyboard ya kwenye PC yangu ili iweze kufanya kazi kama kawaida, aina ya PC ni lenovo na inatumia window 8.
 
hujasema inasumbuaje,na jee ni keyboard yake au zile za kupachika za nje
 
yani kwa mfano labda pengine ukitaka kuongeza na kupunguza sauti au kuongeza na kupunguza mwanga katika PC ukibonyeza sasa katika vile vitufe husika katika keyboard havikubali
 
Kuna keyboard za aina mbili. Kuna hizi za serial na hizi za USB. Keyboard ya serial inatakiwa ichomekwe wakati komputer haijawaka. Kompyuter ikishawaka serial keyboard haifanyi kazi. Hii keyboard yenye kichwa cha USB unaweza ukachomeka wakati wowote...
 
ume tun off keyboard filter ngoja nijue wapi utazipa
 
Back
Top Bottom