Msaada, ku update version, upgrade ROM kwenye Huawei Y-530.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,376
24,928
Wakuu msaada unahitajika kama heading inavyosomeka.
Habari wakuu, wana Gadgets!

Ni simu ya Android version 4.3, napenda niongeze version pamoja na kuongeza ROM.

Nimejaribu ku update kawaida nimekwama.


Karibuni wataalam.
 
Back
Top Bottom