Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
Wakuu habarini poleni na majukumu..! Nimekutana na Changamoto. Ktk simu ya yangu ya Android ya kutopata notification za whatsapp na baadhi ya Application kama Live score.. Pale ambapo sipo katika Application yaani nikiwa cjafungua Application yaani ikiwa ina run Background nimejaribu ku seat katika notification settings ku allow hizo Application na hata kuzi Allow kufanya kazi au ku run Background lkn bila mafanikio yoyote.. Msaada katika hili ndugu zangu. Asanteni.