MSAADA SIMU INAGOMA KUFUNGUKA BAADA YA KUROOT

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
896
566
Baada ya kuroot simu ya huawei kestrel G 535 imeandika neno unfortunately huawei home is stopped na app zingine ila nikitouch OK kwenye zingine neno hilo linatoka ila mwisho linabaki la huawei home is stopped ukiclick OK halitoki na haiendelei kokote.

Solution yake ni nini? Kwa anaeweza tafadhari nitakutafuta unitatulie
 
umetumia app gani ku root umejaribu kutumia app ya root checker ili kuverify kama imeroot? ukizima ukiwasha bado inafanya hivo hivo? ukijaribu ku Uninstall hiyo app uliyotumia kuroot je inakuball kutoka?
 
Nlitumia kingroot niliverify ikawa OK na app nliyotumia kuroot haijatoka na hata nkizma na kuwasha bado iko hvyo
 
Afadhari hata ingefika huko nisingehangaika nachomaanisha ni kuwa hilo neno lililokaa haliruhusu kwenda kokote likikaa it means hufungui chochote lipo katkat ya display na halitoki hata ukiclick OK lipo tu
 
Baada ya kuroot simu ya huawei kestrel G 535 imeandika neno unfortunately huawei home is stopped na app zingine ila nikitouch OK kwenye zingine neno hilo linatoka ila mwisho linabaki la huawei home is stopped ukiclick OK halitoki na haiendelei kokote.

Solution yake ni nini? Kwa anaeweza tafadhari nitakutafuta unitatulie
Tatizo lako linadhihirisha kuwa launcher inecorrupt...

Cha kufanya ni kuinstall launcher nyingine kwa apk...

Kama una PC itakuwa rahisi wewe kuinstall
 
Hiyo kingroot noma sana cm yaweza kufa kabisa ikawa ya kutupa be care unapotaka kuroot
 
hii kitu hatar mi niliidownload hii kingroot nilifuata vgezo vyote bahat yangu nina antivirus ambayo imo kutoka kiwandani nilipo install antivirus ikaniwekea x ikanipa chaguo la kuiondoa kabisa nikafanya hivyo nika unstall

Sasa nikaomba google LG G FLEX root nikapewa kingo root nikaiingiza ktk cm ikanipeleka kwenye app inaitwa super user nayo nikaingza ikakubali

Baada ya hapo nikadownload root checker nikainstall ikanipa congratulations

Nikafungua ile app ya super user nayo ikanipa mchoro wa cm iliyopigwa tiki halafu neno have root

Angalizo

Ingia google uombe root kulingana na model ya cm yako

Onyo

Ni hatari kudownlod app nje ya pray store yaweza kuua kabisa cm yako isiwake tena
 
Back
Top Bottom