Maoni Kuhusu App hii ya Android

Sirbuni

Senior Member
Aug 19, 2012
103
33
Habari zenu wakuu.

Napenda kutambulisha kwenu uwepo wa app inayoitwa "Appetite" (inapatikana playstore).
App hii inakuwezesha kuandika recipe zako pamoja na kushare hizo recipe. Kwa sasa app ina msaada zaidi kwa wanaopenda kupika au kushare mapishi yao lakini kuna features nyingi zinakuja ambazo zitaifanya iwe na matumizi mengi zaidi ya hili la mapishi pamoja na toleo la iOS.

Ningependa kupata maoni yenu hasa yale ya kitaalamu kwa lengo la kuiboresha zaidi programu hii. Unaweza kuipakua playstore kupitia link hii: Appetite – Applications Android sur Google Play

Asanteni sana
 
Back
Top Bottom