chuse tbr
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 489
- 574
Hello Tech,
Toka mwezi December nimehangaika ku upgrade toka Android marshmallow to Nougat na simu yangu ya huawei P9 lite ila ROM nyingi ni za ulaya na kwengineko nami natumia international version muddle east.
Anyone with this rom aiweke hapa kwa faida ya wengi .
Natanguliza shukrani.