Asante but nipo dar so ni ngumu kidgo.. ila nataka ya kusom fasta vyote isizid mwezi na gharama nafuu.Njoo sua, kituo cha Wami, efu 30 tu, wiki mbili, umemaliza,
YoutubeWapi naweza kusoma programmes hizi,.. Ms access, excel, publisher, powerpoint kwa muda mfupi na gharama nafuu?