Dr Atom
Member
- Oct 21, 2016
- 37
- 44
Kichwa cha habari cha husika.Toka nianze kutumia laptop nimepatwa na hili tatizo mara kwa mara la laptop ku emmit joto la hali ya juu NB:Mazingira yote ya kuhakikisha kunakua na maximum air circulation yamezingatiwa.Je nini hasa inaweza kua tatizo maana mara nyingi unakuta hutumii programm zenye uwezo mkubwa ila Feni inazunguka mpaka inakua kero