Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,006
- 306
jamani naombeni msaada nimeibiwa simu yangu aina ya Iphone 6S+ nahitaji kuifunga hii simu au kuipata
jamani naombeni msaada nimeibiwa simu yangu aina ya Iphone 6S+ nahitaji kuifunga hii simu au kuipata
Kama unakumbuka vyema password zako vizuri nenda Mtaa Chatto Nyuma ya Mtaa wa Jakaya Kikwete pale Morocco ndio kuna wataalam special wa IPhone watakusaidia. Mie huwa naenda pale mara kwa mara
Hili ni jina la mtaa limeanza lini kutumika?
jamani naombeni msaada nimeibiwa simu yangu aina ya Iphone 6S+ nahitaji kuifunga hii simu au kuipata
Tupo wengi. Hata Daudi nae wakuja!Utakuwa Mgeni wa Jiji letu hili!
Mi kuna jamaangu aliibiwa lakini alikomaa polisi na ngoma ilisoma kuwa simu ipo mkoa wa Dodoma inatumika na jamaa yupo mtaa wa zuguni
Kama una icloud na huyo mwizi akawa siyo mzuri wa kujua hivi vitu log in kwenye icloud account yako, humo unaweza kuamua kuona simu yako ilipo (kama ulikua umewasha 'find my phone) na unaweza kuilock pia.kwaiyo hakuna njia ya kuiloki
Mkuu,ilikuwa lakini si kwa sasa hivi,sema huo ujuzi watakuwa nao wachache,maana majuzi nimezinyaka kuwa sasa hivi laki 4 wanaondoa.Na watu wanaofahamika nasikia ni 2. Mmoja Kaliakoo, na mwingine Mwananyamala(Kinondoni)...
janaKwanza imepotea lini Mkuu? Yaani ukienda na lisiti uliyonunulia polisi na kama upo vizuri kiuchumi hiyo simu unaipata labda kama haitumiki now.