laptop zipo za aina nyingi, na hakuna laptop ambayo inakidhi mahitaji yote, ikiwa na nguvu sana haitakaa na chaji, na ikikaa na chaji sana nguvu itakuwa ndogo. na laptop nzuri zinaenda milioni 4 mpaka 10 zikiwa na specification za kisasa.Kaka, nisaidie tu specification zake na ipi nzuri hasa kwa academic uses, khs budget sina mipaka nayo but I just need a good thing.