Buy using Mpesa/Tigo pesa appstore

bro kay

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
254
222
Hellow guyz,

Ninatumain mu wazima wa afya njema katika nchi hii tukufu ya mkuu wa nchi Magufuli.

Naomba msaada kwa mwenye uelewa, nataka kununua application kutoka appstore na option ya kulipia ni VISA AU MASTERCARD.

Nawish kulipia through mpesa au tigopesa.

Msaada kwa mwenye kujua anielekeze naomba
 
Kama huyo vendor ni wa hapa nchini wasiliana nawe,kama sio wa hapa lipia tu kwa VISA/MASTERCARD sio ishu kubwa kivile.
 
Ahsante mkuu, inshu yenyewe nataka ku upgrade ICLOUD (iphone's storage).

Ko nawish kulipia through mobile money rather than hizo walizoweka kama option
 
nenda kariakoo ndo wanalipia na mpesa.

Inahitaji uwe ume activate account ya benk Mfano CRDB ATM card zao ni VIsa na mastercard unaweza activate then ukalipia au ukailink accont yako ya Paypal etc.
 
Embu chukua kitambulisho chako pamoja na 20,000 nenda BancABC kariakoo au upanga au UBA bank, waambie unataka cash card. Ni fasta na unaweza tumia kufanye manunuzi online huhitaji kufungua account kwenye benki husika.. unakuwa unajaza tu hela hiyo kadi via mpesa, tigo pesa, airtel money n.k ukitaka kufanya malipo hayo iTunes, eBay, Google play, Spotify, Amazon.
 
Mkuu Huwezi lipa through mpesa asee kachukue card ya BancABC simple tu utapata Kadi haraka sana na itakuwa activated kununua online uta recharge via mobile money mpesa,tigo na Airtel money
 
Ahsante sana mkuu.

Je ntai-link vip kufanya payment akat pale kwenye payment info huwez customize na kuweka njia nyengne ya kulipia??

b97fdd1c9a75082fe93d1c42548725bc.jpg
 
Mekusoma mkuu shukuran, lakin pale kwene kujaza njia ya kulipia sion kama unaweza customize na kuandika hiyo card ya BancABC.

Check the attached photo
d872f17cf08473210382ad5640ba5a14.jpg
 
Ahsante sana mkuu.

Je ntai-link vip kufanya payment akat pale kwenye payment info huwez customize na kuweka njia nyengne ya kulipia??

b97fdd1c9a75082fe93d1c42548725bc.jpg

Ukishapata hiyo card baada ya Masaa 24 hadi 48 itakuwa active ndio utalink utachagua Visa.. Kwenye card number utazikuta mbele ya card hiyo na security code pamoja na expiry date zote zipo kwenye card husika
 
Appreciated mkuu
 
Back
Top Bottom