Msaada wadau.. mimi nina simu ya samsung note 4.. sasa recently haifungui picha wala video za instagram wakat netwok iko poa (natumia airtel) na app ipo updated!! App myinginez ziko safi!!
Hili Tatizo litakua linasababishwa na nini? Na ombeni msaada.
Natanguliza shukurani
Hili Tatizo litakua linasababishwa na nini? Na ombeni msaada.
Natanguliza shukurani