Ni njia gani nyepesi ya kupata followers na likes instagram?

Anthonymlelwa

Member
Dec 15, 2016
17
4
Habari wakuu,

Naomba tupeane maujanja kama kuna trick au apps za kuongeza followers kwenye mtandao wa Instagram.

Nahitaji sana msaada wenu na natanguliza shukrani.
 
Kuna app iko kwenye IPhone nimesahau jina lake juz jamaa yng mmoja anapenda mambo hayo ya followers nimeona akitoka followers 1000 mpaka sahv ana elfu 8 for only one week..sahv anaitafuta K
 
Habari wakuu,

Naomba tupeane maujanja kama kuna trick au apps za kuongeza followers kwenye mtandao wa Instagram.

Nahitaji sana msaada wenu na natanguliza shukrani.
Mkuu unataka uongezee followers Kwa ajili ya biashara....?

Mg: kupata matangazo ya biashara katika page yako....? Au kutangaza biashara yako au unataka Fake Followers.....?
 
Mkuu unataka uongezee followers Kwa ajili ya biashara....?

Mg: kupata matangazo ya biashara katika page yako....? Au kutangaza biashara yako au unataka Fake Followers.....?
Mm nilikua na shida ya kupata fake followers..msaada mkuu
Shukuran kwa aliyeanzisha uzi
 
mkuu ukitaka kupata follower wengi ig, tumia Hashtag # mfano [HASHTAG]#likeforlike[/HASHTAG] # followforfollow [HASHTAG]#Instafollower[/HASHTAG]

√√ukiwa una like sana picha mbalimbali utapata follower wengi
 
Tunajua kila mtu anacomment anachojisikia lakin muda mwingne unachocoment lazma ukifikirie mkuu wangu
Unafikiri natania...nipo serious...Fanya kituko huko insta uone jinsi folowazi watakavyo miminika..

Au...Mtafute Kaoge au James Delicious upige nao picha..utashangaa na roho yako..
 
Una vyeti fake? Kama unavyo mwambie Mange aku Bashite utapata followers kibao na matusi juu
 
Back
Top Bottom