Ufafanuzi wa kitaalam; Unawezaje kuitambua simu ya dukani ambayo ilishatumika?

bic2kn

Member
Feb 18, 2017
76
22
Naombeni kunisaidia, hv umeingia dukan kununua simu ya w5 techno, kumbe cmu hyo ilinunuliwa na mtu mwingne ikatumika kwa 3days ukauziwa hyohyo! Je utawezaje kuitambua hyo cmu kama imeshawekewa line na ikatumia?
Note: simu ilikuwa restarted,ikarudi dukani tenaa!
 
Back
Top Bottom