Isack Michael
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 122
- 34
Naombeni msaada wenu nielewesheni juu ya comment za programming language hasa kwenye html
Na unawezaje kuitumia iyo comment samahanini mimi ni beginner ndo maana naombeni mnipe maelezo ya kutoshaComments are just for reference!.
Kwanza kabla ya kujua unatumia tuambie unajifunza language gan?? Java...cpp..c sharp...rubby or what!??Na unawezaje kuitumia iyo comment samahanini mimi ni beginner ndo maana naombeni mnipe maelezo ya kutosha
HTML na CSSKwanza kabla ya kujua unatumia tuambie unajifunza language gan?? Java...cpp..c sharp...rubby or what!??
Comment za java ni tofauti na za php au nyingne yeyote!!
NB: html sio programming languages ni MARK- UP LANGUAGE!HTML na CSS
Ok shukrani kwa msaada wakoNB: html na css sio programming languages ni SCRIPTING LANGUAGES!!
Comment za HTML
<!-
<p> this is my comment</p>
-->
Hiyo ndio format yake!
Unaeza kutumia vitabu au videos za youtube ili kujifunza zaidi!! Kwa youtube search "thenewboston" huyu ana video nzuri za html na css!!
Welcome mkuu!! It might get tough to some points but Ukiona unataka kata tamaa usiache kujifunza...komaa tuu mpaka utaelewa zaidi na zaidi!! I wish you lucky mkuu!!Ok shukrani kwa msaada wako
Nashukuru sana naumia mda mwingi kukaa ndani na kusoma kwa video je auwezi nishauri juu ya vitabu ili niweze kujiweka vizuri zaidiWelcome mkuu!! It might get tough to some points but Ukiona unataka kata tamaa usiache kujifunza...komaa tuu mpaka utaelewa zaidi na zaidi!! I wish you lucky mkuu!!
Au unanishauri nisomeje ili niweze kuwa vizuri zaidi kwasababu wewe ni mtaalam zaidi...Welcome mkuu!! It might get tough to some points but Ukiona unataka kata tamaa usiache kujifunza...komaa tuu mpaka utaelewa zaidi na zaidi!! I wish you lucky mkuu!!
Sio lazima usome vitu vingi at once...!! Soma concept moja mfano..."id" then ifanyie mazoezi...kesho tena unasoma ingine!!Nashukuru sana naumia mda mwingi kukaa ndani na kusoma kwa video je auwezi nishauri juu ya vitabu ili niweze kujiweka vizuri zaidi
Code ni sanaaaa,Naombeni msaada wenu nielewesheni juu ya comment za programming language hasa kwenye html
Sawa kwaiyo kwa urahisi naweza nikasoma labda "class" alafu nikaifanyia kazi kwenye notepad yanguSio lazima usome vitu vingi at once...!! Soma concept moja mfano..."id" then ifanyie mazoezi...kesho tena unasoma ingine!!
Anyways vitabu najua vya softcopy mfano html and css for beginners...unawezo kigoogle ukapata na vingine free....sijui vingi maana mimi nlijifunza kwa video sana sio vitab! Jope wadau watatusaidia hapa
Tembea na python kama unataka kuteleza.. kama uko serious abt programming jichimbie na C..Au unanishauri nisomeje ili niweze kuwa vizuri zaidi kwasababu wewe ni mtaalam zaidi...
KweliNB: html na css sio programming languages ni SCRIPTING LANGUAGES!!
Comment za HTML
<!-
<p> this is my comment</p>
-->
Hiyo ndio format yake!
Unaeza kutumia vitabu au videos za youtube ili kujifunza zaidi!! Kwa youtube search "thenewboston" huyu ana video nzuri za html na css!!
Sasa nianze na kusoma nini?Tembea na python kama unataka kuteleza.. kama uko serious abt programming jichimbie na C..
Duh mkuu unatumia notepad mbona unajipa kazi kubwa mkuu jaribu hata kutumia dream weaver walauSawa kwaiyo kwa urahisi naweza nikasoma labda "class" alafu nikaifanyia kazi kwenye notepad yangu