Tecno y 3 msaada

kisimbamiti

Member
Aug 23, 2016
8
3
Naomba msaada simu ya tecno y 3 nikiiwasha zinakuja sms nilizotumiwa zamani.je nifanyeje zisiwe zinakuja?
 
Naomba msaada simu ya tecno y 3 nikiiwasha zinakuja sms nilizotumiwa zamani.je nifanyeje zisiwe zinakuja?

Mkuu hizo simu zko hvyo endapo kama haudelete SMS za zaman (Old messages) so cha kufanya futa zote sms za zaman au ndan ya App ya nenda kwenye option tafuta neno "Delete old messages" weka tiki hapo zitakua zinajidelete Automatically kila baada ya muda flan na la mwisho kabisa jaribu kutumia 3rd party applications kama "Go sms, na Textra na nyingne nyingi tu tafuta katka duka la Play store.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom