Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau kwa wale ambao kwa sasa hawaipati kodi xbmc kwenye play store ambayo baada kufanyiwa update inapatikana kwenye Simu zinazotumia mfumo wa lollipop na kuendelea,jaribu kupakua spmc kutoka...
0 Reactions
5 Replies
830 Views
Ivi ni kweli Halotel hawajasikia hichi kilio
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Natumia Sony v3 inagoma kusoma laini ya halotel na inakubali tigo pekee....NIFANYAJE...??
0 Reactions
9 Replies
1K Views
**For Educational Purpose** **Wont be accountable for any problems that may occur** No offense!kwanini watanzania tunapenda kukurupuka? Ni kwasababu ya ujinga au u-muchknow? kulikua na haja gani...
35 Reactions
198 Replies
24K Views
Wakuu habar?. Mi natumia simu tajwa hapo juu ya Alcatel 5023F hizi za vodacom. Tatizo ni kwamba toka jana imekuwa inaonyesha sign kama betri ipo chaji hata kama nimeitoa kwny chaji. Pia inaandika...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Naombeni munifundishe jinsi ya kushea taarifa kutoka chanzo kingine cha habari kuja jamii forum
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada jinsi ya kutumia Microsoft access pia nini faida ya matumizi yake
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF, naulizia aliwai ku implement online payment kwa kutumia M-Pesa, Airtel Money,Tigopesa, visa card na paypal. Nimesoma Paypal nais kama inawezekana sijapata bado idea ya payment...
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Habari zenu wadau Mwenye uelewa wa jinsi ya kutengeneza blog naomba msaada wako, ni jinsi gani naweza kufungua blog. Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau naombeni msaada wa Cubase advanced music system cracked software au mwenye link ya kuipata anitumie please.
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Habari za humu naomba mnisaidie jinsi ya kubadilisha font style kwenye tecno cammon C8 bila ya kiroots
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Greetings brethren! Few days ago I started a post asking for your help for a beginner python exercise. Give thanks for the contributions.....nilisaidika sana mosi the task was solved pili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar JF naomben msaada!! Pc yangu ina sehem ya ku insert SIM. Card kukonfigure ndo ishue anejua kuset line ikatumia kweny computer msaaDa tafadhali!!.
1 Reactions
2 Replies
755 Views
Vifuatavyo ni vitu vya kiteknolojia ambavyo havikuwepo tangu mwaka 2006 kama ifuatavyo. Na vipi vingine ambavyo havikuwepo miaka ile ya nyuma? 1.WhatsApp 2.Android 3.Uber Spotify 4.Instargram...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni Toshiba laptop Satelite Niliitumia fresh kwa muda wa lisaa limoja ikaisha charge ikazima nilipojaribu kuiwasha tena inatoa mwanga kidogo kwenye screen halafu inazima.nimejaribu kuhold F8...
0 Reactions
2 Replies
538 Views
Ndugu wapendwa polen kwa majukumu me natatizo moja kuhusu iphone kila nkitaka ku resett ianze upya nashindwa najaribu ku turn off #findmyphone na log out icloud ila ikimaliza process inatoa only...
0 Reactions
3 Replies
807 Views
Computa yangu aina ya hp ina windows 7 ultimate imepata tatizo kama ifuatavyo: Nikiiwasha inawaka kwa maana ya button ya kuwashia pamoja na lights zote za knye keybord zinaonesha komputa imewaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za jioni, nimenunulia tangu ina miezi 1 tangu ninunua tatizo inashindwa kusoma external hdd, tatizo nini yeyote anayehamu nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam niombe msaada anaejua kuscreenshot kwa kutumia aina hii ya simu.. Feature ya ku-screen shot iko wapi haswa. thanks indavance
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni Samsung prime core (dual sim) nilikuwa naitumia bila tatizo lolote mpaka juzi hapa ndio imeanza tabia hiyo Yaani nikiwasha data tu inajirestart kwenye upande wa line mpaka hapo itakapo maliza...
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…