Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 810
- 707
Habari wanaJF, naulizia aliwai ku implement online payment kwa kutumia M-Pesa, Airtel Money,Tigopesa, visa card na paypal. Nimesoma Paypal nais kama inawezekana sijapata bado idea ya payment gateway zingine nilizoziorozesha hapo juu. Kwa anaye fahamu msaada.