Samsung galaxy inarestart sim card

chuma cha reli

JF-Expert Member
Jul 2, 2012
2,762
2,550
Ni Samsung prime core (dual sim) nilikuwa naitumia bila tatizo lolote mpaka juzi hapa ndio imeanza tabia hiyo

Yaani nikiwasha data tu inajirestart kwenye upande wa line mpaka hapo itakapo maliza ndio niendelee na mambo mengine

Naomba msaada kama kuna yeyote mwenye kujua ufumbuzu wake
 
Naona wajuvi mnaipitia mbali hii nyuzi ,basi subiri niendelee kusubiri @chief_mkwawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom