Arduino Sentinel
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 203
- 274
**For Educational Purpose**
**Wont be accountable for any problems that may occur**
No offense!kwanini watanzania tunapenda kukurupuka? Ni kwasababu ya ujinga au u-muchknow? kulikua na haja gani ya Setup (kampuni iliyonyuma ya matengenezo ya wasafidotcom) ku release uncompleted project? Tena ukizingatia ni ecommerce website eti! Na kwanini Wasafi waruhusu uncompleted project kuanza kufanya kazi? au kampuni inatechie guys wanaojua kuposti kwenye social medias tu?
Anyway,back to the point, ukiaccess url hii https://wasafi.objects-us-west-1.dream.io/,unaweza download nyimbo yoyote inayouzwa, bure,, nyimbo zinazouzwa zipo kwenye uploads folder. mfano wa complete link ni https://wasafi.objects-us-west-1.dream.io/uploads/1wvmYJBTl8k0es4upFVclQqZOZosNR1488205188.mp3/ (actual sijui hii ni nyimbo gani,maybe "happy bithday" ) au https://wasafi.objects-us-west-1.dream.io/uploads/Queen-Darleen-Ft-Rayvanny_Kijuso.mp3/ (futa "/" baada ya .mp3 kwenye links hizo ili zifanye kazi )
By the way, point ni kwamba, kumiliki ecommerce website, sio sawa na kumiliki ki social media page cha kupost na kulike vipicha! Kuachia project ya ovyo kama hii yenye hundreds of vulnerabilities Unarisk confidentiality ya watu, ndo mwanzo wa identity theft, watu wataibiwa credit cards zao kiulaini wakidhani wapo secure.
If mimi tu mwenye kauelewa kadogo na web tech nimeweza kugundua madhaifu kwakuangalia tu,real hackers si ndo wataisambaratisha kwa sekunde tu!
Setup na kampuni nyingine aina yake, mnapaswa kufahamu kuwa hamtasurvive kwenye hii cruel techie world kwa ufanyaji huo wa kazi! Kuweni serious na kazi zenu, kama inshu ni pesa, ni bora kumcharge mteja pesa kubwa kwa final product ya uhakika kuliko kucharge pesa ndogo kwa low quality product.