mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 551
- 618
Ni Toshiba laptop Satelite Niliitumia fresh kwa muda wa lisaa limoja ikaisha charge ikazima nilipojaribu kuiwasha tena inatoa mwanga kidogo kwenye screen halafu inazima.nimejaribu kuhold F8 cjafanikiwa