Hivi ni kweli Halotel hawajasikia hiki kilio

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,364
1,315
Ivi ni kweli Halotel hawajasikia hichi kilio
f447bfed7fa9c6102876bba91339feb0.jpg
ba1424f8a5137083120338f30fd8bf00.jpg
 
hapo ndio capacity imeisha mkuu, mobile data ndio ilivyo, mkiwa wengi eneo na speed inashuka. Hama mtandao
 
tatizo bando zao za chuo ni chip. Mkwawa naomba kuuliza gharama za kufunga WiFi nyumbani ni sh.ngap. 10Mbps kwa mwezi ni bei ngap
 
mkuu hao watu wa broadband kwa wateja wa kawaida hawapo Tanzania, wengi wametarget biashara.

na ukikuta ametarget watu wa kawaida ujue ni mvno (mobile virtual network operator) ananunua tu gb kwa wingi kwa mitandao ya simu na kisha kukuuzia wewe, mfano UHURU ONE.

maeneo ulipo smart hawapo?
 
kuna mzee hapa jirani yetu kafunga sas yeye imekuaje
 
Huezi niamisha Tigo toka mwaka 1999 nimenunua line ya sm yangu kwa sh 50000 elfu posta had I Leo sasa imefika internet Tigo inaongoza inafatia Voda
 
Ungeweka ushahidi hapa wa speedtest ya tigo na sisi tuweke ya voda...tigo hawez fata speed za voda ..kuanzia ping,download speed,upload speed..japo location ina matter ila in general tigo hawez kua wa kwanza kweny speed za Internet .
 
hapo ndio capacity imeisha mkuu, mobile data ndio ilivyo, mkiwa wengi eneo na speed inashuka. Hama mtandao
Hivi mkuu unaweza ukakisia tatizo likawa nini hapa yani
Mitandao ifuatayo spidi yake ya Internet haizidi 500kbps katika eneo nililopo
1.vodacom
2.Tigo
3.Airtel

Halotel inaenda mpaka 3mps lakini kitu chenye mb 250 kinaingia kwa masaa 4

Sasa tatizo linaweza likawa nini ni eneo au PC/simu au nini mkuu .
 
1. inawezekana website unazodownloadia zipo slow, kuhakikisha sio tatizo la website tumia site zenye server ya maana mfano youtube, download video ya youtube uangalie unapata speed gani, hio ndio speed yako halisi

2.kuna 3mbps na 3MBps yenye B kubwa ni bytes na yenye b ndogo ni bit, hivyo kama ni 3mbps ni sawa na 375KBps tu (unagawanya kwa 8) lakini still kwa 250MB haikutakiwa ifike masaa manne labda nusu saa tu.

3. pia angalia hio 3mbps unayopata ni muda wote ipo hivyo au inapanda na kushuka? huwa mobile data speed zake zinakuwa hazieleweki mara inapanda mara inashuka inawezekana hapo ndio imepeak na muda mrefu inakuwa haifiki hapo.

4.hio mitandao mengine pengine ina wateja wengi eneo lako, una kifaa cha 4g? hio mitandao ina 4g hapo kwako? jaribu 4g itakupa speed nzuri
 
1.Kwa hilo jibu la kwanza tu umenipa mwanga kwamba tatizo linaweza likawa ni website kwasababu nikiwa napakuwa vitu YouTube kihalifu huwa sisumbuki kabisa tena kwenye PC lakini Torrent kule ni zaidi ya masaa 4 ndio kitu kinaangia sasa tena kwa shida

2.Ngoja nitafute kifaa cha 4G ila kwa halotel kwasababu wao ni hafadhali katika hili eneo mkuu wengine hapana iwe usiku au mchana ni 000 tu.

BUT THANK YOU MKUU KWA MSAADA WAKO.
 
hukusema mwanzo kama ni torrent

kwa torrent kuna kitu kinaitwa seeder na leecher

seeder ni wale wanao upload hilo file na leecher ni nyie mnao download, ikiwa leecher ni wengi na seeder ni wachache jua basi speed itakuwa ndogo unless huyo seeder ana speed kubwa, hivyo hakikisha kabla hujadownload file lolote la torrent liwe na seeder wa kutosha.
 
Hii ni nondo nyingine ambayo nilikuwa siijui kabisa mkuu nilikuwa naingia kichwa kichwa tu kumbe naacha kuangalia vitu muhimu kabisa dah ASANTE SANA KWA MUONGOZO MKUU .
 
Hivi mkuu unaweza ukakisia tatizo likawa nini hapa yani
Mitandao ifuatayo spidi yake ya Internet haizidi 500kbps katika eneo nililopo
1.vodacom
2.Tigo
3.Airtel

Halotel inaenda mpaka 3mps lakini kitu chenye mb 250 kinaingia kwa masaa 4

Sasa tatizo linaweza likawa nini ni eneo au PC/simu au nini mkuu .
Nyie mnalalamika wakati mimi napokea speed ya internet ya 0.7K/s, Halotel, Voda, Tigo wote vimeo, ipa bora Halotel kidogo, Voda na Tigo ndo shida
 
Back
Top Bottom