Ndugu wapendwa polen kwa majukumu me natatizo moja kuhusu iphone kila nkitaka ku resett ianze upya nashindwa najaribu ku turn off [HASHTAG]#findmyphone[/HASHTAG] na log out icloud ila ikimaliza process inatoa only passcode na setting za ndani zinakuwa vile vile
Kuwa makini na uchaguzi (options) wakati inapokuletea options za kureset, chagua option ya kureset kila kituNdugu wapendwa polen kwa majukumu me natatizo moja kuhusu iphone kila nkitaka ku resett ianze upya nashindwa najaribu ku turn off [HASHTAG]#findmyphone[/HASHTAG] na log out icloud ila ikimaliza process inatoa only passcode na setting za ndani zinakuwa vile vile