Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,349
- 1,011
Wakuu habar?.
Mi natumia simu tajwa hapo juu ya Alcatel 5023F hizi za vodacom.
Tatizo ni kwamba toka jana imekuwa inaonyesha sign kama betri ipo chaji hata kama nimeitoa kwny chaji. Pia inaandika maneno yafuatayo kwenye screen "the phone is charging out now". Wakuu sijui nifanyaje kufix hili tatizo maana hata uweke usiku kucha chaji haijai.
Asante sana