issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,138
Natumia Sony v3 inagoma kusoma laini ya halotel na inakubali tigo pekee....NIFANYAJE...??
Tigo shopumenunulia tigo shop au umenunua kwenye maduka ya kawaida!
basi ni simu ya tigo ambayo kama ni laini mbili.. moja tena lain 1 lazima isome tigo tu... na laini nyingine yaan 2 ndo mtandao mwingine..!Tigo shop
Shida inaposoma zote tigo hakna namna nyingne hapo mkuubasi ni simu ya tigo ambayo kama ni laini mbili.. moja tena lain 1 lazima isome tigo tu... na laini nyingine yaan 2 ndo mtandao mwingine..!
nenda tigo shop uliponunulia waambie nimekuja ku"update simu yangu inasoma zote tigo wataiweka sawa...Shida inaposoma zote tigo hakna namna nyingne hapo mkuu
Kherinenda tigo shop uliponunulia waambie nimekuja ku"update simu yangu inasoma zote tigo wataiweka sawa...