Msaada tafadhari:kuscreenshot HCT DESIRE 816G

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
915
752
IMG-20170324-WA0005.jpg

Salaam niombe msaada anaejua kuscreenshot kwa kutumia aina hii ya simu..

Feature ya ku-screen shot iko wapi haswa.

thanks indavance
 
Shikilia kitufe cha volume pamoja na kile cha kuwashia simu kwa sekunde 3 mkuu. Kumbuka kuishikilia vyote kwa wakati mmoja
 
Back
Top Bottom