Samsung flat screen led HDTV 32 4 series inashindwa inashindwa kufungua external HDD

ibradebo

JF-Expert Member
May 8, 2015
303
181
Habari za jioni, nimenunulia tangu ina miezi 1 tangu ninunua tatizo inashindwa kusoma external hdd, tatizo nini yeyote anayehamu nawasilisha
 
Asante mkuu nitajaribu maana hii ni ya Pili baada ya kwanza kubadilisha na jamaa anasema inasoma external hdd alinitumia whatsapp
 
Wataalamu, msaada tafadhali. Simu yangu iPhone OS4 inakataa kufungua na ku save file za mid na wav. Nisaidieni cha kufanya tafadhali
 
Back
Top Bottom