nenda kwenye chanzo cha habari unayotaka kushare kisha unaclick copy kishaa toka nenda sehemu ambayo anataka kushare hiyo habari click paste, utakuwa umeshare hiyo habariNaombeni munifundishe jinsi ya kushea taarifa kutoka chanzo kingine cha habari kuja jamii forum
mi ndio bado, mf natumia opera, naomba unifafanulie plznenda kwenye chanzo cha habari unayotaka kushare kisha unaclick copy kishaa toka nenda sehemu ambayo anataka kushare hiyo habari click paste, utakuwa umeshare hiyo habari