richnigga
Member
- Dec 25, 2014
- 82
- 53
Computa yangu aina ya hp ina windows 7 ultimate imepata tatizo kama ifuatavyo:
Nikiiwasha inawaka kwa maana ya button ya kuwashia pamoja na lights zote za knye keybord zinaonesha komputa imewaka But tatizo ni Screen.. inaonesha dim light kabisaa(ni giza kabisa) kiasi kwamba siwezi kuona files au kitu chochote knye desktop na siwez kuitumia , lakin nimechunguza kwa makin nimegundua screen nayo imewaka na files zinaonekana kwa mbaali saana au mpaka nimulike mwanga wa tochi knye screen ndo atleast naweza nikaona files japo kwa mbaali.
Nimeangalia settings zote za light ziko vizur.. nimrshindwa kujua solution ya hili tatizo.