Kabelwa
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 664
- 175
Wadau kwa wale ambao kwa sasa hawaipati kodi xbmc kwenye play store ambayo baada kufanyiwa update inapatikana kwenye Simu zinazotumia mfumo wa lollipop na kuendelea,jaribu kupakua spmc kutoka play store ukishaifungua click-appearance,click-skin,click-confluence,ingiza addons zako,enjoy spmc.