William Ngotti
Senior Member
- Apr 13, 2015
- 187
- 48
Habari za humu naomba mnisaidie jinsi ya kubadilisha font style kwenye tecno cammon C8 bila ya kiroots

tumia ifont ipo playstore
Sikia mkuu hakuna miujiza kama simu yako aina program ya kuchange font hakuna apps yeyote ambayo itafanction pasipo kurootHabari za humu naomba mnisaidie jinsi ya kubadilisha font style kwenye tecno cammon C8 bila ya kiroots
Bila kuroot uwezi faidi font kalijamani na mimi nataka natumia C5 sitaki kiroot
Kuroot ndio unafanyaje mkuu maana naona kama terminology mpya hii!Bila kuroot uwezi faidi font kali
Tusaidiane kuhusu hiliKuroot ndio unafanyaje mkuu maana naona kama terminology mpya hii!
Help!
Tusaidiane kuhusu hili
jaribu kupitia hapo chiniKuroot ndio unafanyaje mkuu maana naona kama terminology mpya hii!
Help!