PAYPAL

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,313
2,641
wakuu salamun
Naombeni mnisaidie jambo moja kuhusu PayPal, nilikuwa najisajili lakini nikajikuta nimeandika jina LA mkoa badala ya jina LA wilaya inamaana Kama nitanunua chochote basi kitatumwa mkoani Na sio wilayani,katika kutafuta njia ya kuedit nikagundua kuna ugumu kidogo kuedit primary address japo kuna uwezekano wa Ku add address mpya, wakuu Kama kuna mwenye kujua namna ya kuedit basi anipe mwanga

Wa salaam
Slave jf
 
Paypal ni kuhusu malipo tu wala sio maswala ya manunuzi (shopping)

Kuedit pia mbona ni rahisi sana kiongozi.. ebu tulia fuata taratibu.. ugumu upo kwenye kijisajili tu
 
OK mkuu wacha nipitie maelekezo tena
Paypal ni kuhusu malipo tu wala sio maswala ya manunuzi (shopping)

Kuedit pia mbona ni rahisi sana kiongozi.. ebu tulia fuata taratibu.. ugumu upo kwenye kijisajili tu
 
Naumba kuuliza! Nikifanya manunuzi kwny alibaba na seller hajatuma mzingk au mzingo hauna sifa zinazotakiwa! Naweza kudai pesa yangu! Lakin ni rahisi kama kwny ebay au huku ni shida?
 
Wala usihofu kuhusu Address. Inawezekana ku' edit lakiniboia PayPal hawahusiki na kukutumia kitu chochote. Address unayotakiwa kuwa nayo makini ni ile wakati inapotaka kununua bidhaa mfano Ebay Allixprss Amazon nk. Kwasababu hiyo ukiikosea ndio mzigo utapotea
 
wakuu salamun
Naombeni mnisaidie jambo moja kuhusu PayPal, nilikuwa najisajili lakini nikajikuta nimeandika jina LA mkoa badala ya jina LA wilaya inamaana Kama nitanunua chochote basi kitatumwa mkoani Na sio wilayani,katika kutafuta njia ya kuedit nikagundua kuna ugumu kidogo kuedit primary address japo kuna uwezekano wa Ku add address mpya, wakuu Kama kuna mwenye kujua namna ya kuedit basi anipe mwanga

Wa salaam
Slave jf
kuedit add adress ingine, ifanye primary alafu futa ya zaman.
 
liljustine21daah st: 20118793 said:
kuedit add adress ingine, ifanye primary alafu futa ya zaman.
Thanks nimefanikiwa daah
 
Isee nimejifunza zaidi ya nilivyouliza, wadau leteni Na somo LA kuuza bidhaa kupitia eBay hapo tunafanyaje
 
Nimejifunza kitu wana jf shukrani sana endeleen na moyo huo huo wa kupeana ujuzi.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom