MSAADA PHOTOSHOP CS5 OR CS6 HAINA 3D MENU.

zimwilachi

Member
Oct 22, 2016
40
23
Kwa wale wataalamu wa mambo yetu ya GRAPHICS nimefanya installation ya ADOBE PHOTOSHOP both CS5 AND CS6 lakini sioni ile option ya 3D. Nimejaribu kutafuta solution nakakutana na application ambayo uki-run inaleta hiyo 3D lakini nimeshinda kupata link ya kudownload hiyo app.
 
Back
Top Bottom