Jinsi ya kutengeneza Email with my own domain

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,301
8,693
habarini za asubuhi vijana wangu naomba msaada wa haraka sana nataka nitengeneze email proffesional kwa mfano jack@doctor.co.tz nafanyaje wadau nahitaji majibu sasa hivi na kama kuna watu unawajua wanafanya hosting au kama kuna web zao nitupieni hapo kuna deal nataka nikimbiziee
 
Una website mkuu?
 
inategemea na domain unayoitaka kama imeshachukuliwa au bado, kama bado unaweza kuipata baada ya masaa machache!!!
gharama inategemea idadi ya emails unazozitaka na storage ya domain yako
 
oya domain ninayotaka kwa co.tz bado ipoo nahtaj storage ndogo tu si zaid ya gb 5
 
5GB kwenye issue za web storage sio ndogo... unaongelea around 400k per year!!! kama issue ni kwa matumizi ya emails tu hata 1 GB inatosha
 
Back
Top Bottom