bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,330
- 2,331
Wana jf natumia simu aiana ya Samsung galaxy ji tatizo lake ni kwamba nikitumia mitandao ya kijamii kama instagram,simu inaandika kwamba storage imejaa hata kama kukiwa na memory na hali hiyo inasababisha other systems kushindwa kufanya kazi vyema.
Naombeni msaada wa mawazo je nifanyeje kusov
Naombeni msaada wa mawazo je nifanyeje kusov