Naomba ushauri kuhusu hii website ya e commerce

matthew12345

Member
Apr 19, 2015
63
30
Habari wakuu ?
Naomba ushauri wenu juu ya website hii ya e commerce. niliyodesgn kwaajili ya drop shipping business ya bidhaa ndogondogo kutoka china. vipi muonekano wake na urahisi kwa watanzania kuweza kuitumia na kununua vitu online.

kwa mawasiliano yangu
call +255 654 380 695
email matthewkapela@gmail.com

website yenyewe hii hapa
www.punguzolabei.com
punguzolabei.jpeg
 
Habari wakuu ?
Naomba ushauri wenu juu ya website hii ya e commerce. niliyodesgn kwaajili ya drop shipping business ya bidhaa ndogondogo kutoka china. vipi muonekano wake na urahisi kwa watanzania kuweza kuitumia na kununua vitu online.

kwa mawasiliano yangu
call +255 654 380 695
email matthewkapela@gmail.com

website yenyewe hii hapa
www.punguzolabei.com View attachment 468192

iko poa kama pesapal itafanya kazi utakuwa umetusaidia hata sisi sema sasa upokeaji wa product cancelation policy na vitu vingine utazingatia maana mambo ya hela sio ya mchezo
 
iko poa kama pesapal itafanya kazi utakuwa umetusaidia hata sisi sema sasa upokeaji wa product cancelation policy na vitu vingine utazingatia maana mambo ya hela sio ya mchezo
tutzingatia mkuu tayari tumeambatanisha maelezo mazuri katika our policy ukiangalia pale kwenye footer menu tumeongelea hii ya product cancelation policy vizuri mkuu sema swala kubwa ni kwenye mda mzigo utaochukua paka kumfikia mteja
 
naomba maelezo mafupi kuhusu e commarce
e commerce (electronic commerce or EC) ni kuuza na kununua bidhaa na huduma au kutuma na upokeaji wa data au funds kwanjia ya kielectronic sana sana internert These business transactions occur either business-to-business, business-to-consumer, consumer-to-consumer or consumer-to-business
 
tutzingatia mkuu tayari tumeambatanisha maelezo mazuri katika our policy ukiangalia pale kwenye footer menu tumeongelea hii ya product cancelation policy vizuri mkuu sema swala kubwa ni kwenye mda mzigo utaochukua paka kumfikia mteja

PAYMENT AUTHORIZED

  • Punguzolabei may have to verify payment and order details before processing your order.
    • Before the payment authorized and verified, order cannot cancel or change. We will process immediately once verified.

kwaiyo nyie hamna returning policy?
kama mtu kanunua bidhaa akalipia alafu baada ya muda akabadili mawazo na kutaka kitu tofauti, na kama itakuwepo icho kitu kama kimeanza kusafirishwa nani atalipia ela ya usafiri kurudi warehouse?
mfano hii ni ya ebay

Returns

You're required to specify your return policy in your listings, even if you don't accept returns.
If you accept returns, a buyer can return an item for any reason, including if they change their mind about a purchase—as long as the return meets the return requirements—for example, returning an item within your stated time frame, and meeting item condition requirements.
We encourage you to accept returns—it helps increase buyer satisfaction.

What to do

Specify if items can be returned.

If you accept returns, you must specify:

  • The time period in which a buyer must notify you about a return

  • The restocking fee, if any

  • Who pays for return shipping

  • If there are item conditions required for return, and clearly state those conditions

  • How the refund is issued (money back, replacement or exchange)
Even if you specify that you don't accept returns, a buyer may be able to open an eBay Money Back Guarantee case for eligible items if the buyer didn't receive an item or the item doesn't match the listing description. Learn more aboutSeller performance standards.

About restocking fees

If you charge a restocking fee for returns, we recommend that you only ask for a reasonable amount.

You shouldn't charge restocking fees for items returned due to damage, defects, or not-as-described in the listing.

au hii ya Sammy Dress for Less: Cheap Clothes, Latest Fashion | Sammydress.com

Warranty and Returns
At SammyDress, customer satisfaction is always our top priority.
Our dedicated QC and QA teams will inspect your items prior to shipping. Our product quality is guaranteed. However, you do need to carefully and accurately check your size before buying. Please kindly reference the size chart(s) on the product page.

If you are not satisfied with the items you receive, we can easily arrange an exchange or a refund for you. We are here to help! Please feel free to submit a ticket if you have any issue with your order!

30 Days Return
Warranty Contact to get
solution Additional notes
about Warranty
Support Center.
b.jpg
Contact to get solution:

Steps to contact us:
Go to our support center and describe the issue in detail ( return reason) along with your order number and SKU (product) number. For defective, incorrect or not as described item, please send us a clear picture or video of the problem.

Our Solutions:
1. Our company's issue
  • If our company is responsible for the issue, we will allow a return to our warehouse for a refund and or an exchange.
  • Once we receive the item, we will refund in full the original product price and its shipping or resend for free a replacement at our expense.

2.Customer's responsibility
  • If the customer has ordered an incorrect size, product or simply wants to exchange the item, we can allow a return too.
  • In that case, the customer will be responsible for the shipping fee both ways (to and from our warehouse) for an exchange. If the customer chooses a refund, we will refund the original product price. All and any shipping fees are not refundable.
e.jpg
Additional notes about Warranty

All returns must first be approved by our customer service team; if approved, you will be provided with an RMA form. Returned items without RMA form will not be accepted.
All returned items must be in brand new condition, unused/unworn, unwashed, come with all original tags and their original packaging.
 
e commerce (electronic commerce or EC) ni kuuza na kununua bidhaa na huduma au kutuma na upokeaji wa data au funds kwanjia ya kielectronic sana sana internert These business transactions occur either business-to-business, business-to-consumer, consumer-to-consumer or consumer-to-business
asante umenfumbua
 
website ipo slow sana. ni rahisi wateja kukata tamaa hasa pale wanapokua katika slow network location. inapokua kasi zaidi mteja nae akua free kutafuta
 
website ipo slow sana. ni rahisi wateja kukata tamaa hasa pale wanapokua katika slow network location. inapokua kasi zaidi mteja nae akua free kutafuta
asante mkuu kwa kuliona hili. now mda si mrefu hii website tutaiamishia kwenye vps server hizi shared hostng zipo slow sana
 
Matthew kapela, Naomba unambie website yangu ya cocovoyage imefikia wapi? sasa ni second week inaingia tangu ulivoahidi kuifanyia kazi hujaigusa na itayari umeshapokea malipo!!!!! I am running out of patience sasa, you had the my project for 2 months and nothing i see.... Nimejaribu kukupigia sana, lakini hupokei simu zangu. These developers are FRAUD!
 
Mwe....!
 
pole sana
 
website yako ni ndefu sana ivyo itakuwa slow ni bora uweke director ya vitu ili user awezi load machaguo zio vyote
 
Matthew kapela, Naomba unambie website yangu ya cocovoyage imefikia wapi? sasa ni second week inaingia tangu ulivoahidi kuifanyia kazi hujaigusa na itayari umeshapokea malipo!!!!! I am running out of patience sasa, you had the my project for 2 months and nothing i see.... Nimejaribu kukupigia sana, lakini hupokei simu zangu. These developers are FRAUD!
Pole sana mkuu!! Labda amepitiwa na sekeseke la bashite ndio maana hataki kupokea simu
 
Back
Top Bottom