Eddy mtatina
Senior Member
- Jan 8, 2014
- 174
- 142
Naomba maelekezo ya kitaalamu kuokoa pc iliyoingiliwa na maji.
Siamini kuwa una maanishaNunua mchele ukisha usibane ifunue ingiza katikati ya mchele iache muda wa masaa 72 itowe itakua maji yote yamenyonywa na imekaushwa safi
Pole sana Mkuu!!Naomba maelekezo ya kitaalamu kuokoa pc iliyoingiliwa na maji.