HIVI KUNA FREE ANDROID APPK AMBAYO INAWEZA KUONDOA AU KUFUTA WATERMARK KWENYE VIDEO BURE

Professional Trader

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
1,220
1,117
Wakuu nilikua naomba msaada wenu kma kichwa cha habar kilivyoeleza apo juu nilikua naomba kujuzwa kwa maana nimetafuta sana wenye nayo au anayeijua atusaidie apa
 
I don't think so. Au unaposema kufuta unamaanisha ipotee kabisa au iweke blur tu?
 
huwezi futa watermark labda upate original file ambalo halijafanyiwa render, kufuta watermark labda uzibe video kwa kueka blur au ufanye vitu advanced kama cgi ambavyo itakuchukua miaka kujifunza
 
cdhani if it's possible coz a watermark is a permanent imprint
It is not permanent! Ukipata software mujarabu iliyotumika kutengenezea video husika let say Adobe Premiere Pro, ama Nero Video editor, au Pinnacle Studio, au Corel video studio unaweza kuondoa hiyo watermark!
 
Hauwezi kuondoa watermark kama walivyosema. Video ikishafanyiwa rendering/export inakuwa ni kitu kimoja hata ile software original haiwezi kuiedit wala kuitoa ile watermark tena unless una original project files.
Ndo maana wezi wengi wa video wanaishia kublur au kucrop video.
 
Back
Top Bottom