Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Habari bandugu.
Nina simu ya kutoka msumbiji aina ya Movitel ukiweka laini za Tanzania hazifanyi kazi.
Ninatumia laini za Vodacom Tanzania wala haisomi,msaada wana-IT.