Wana jukwaa ebu nipeni password

Bonesmen

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
929
991
HUAWEI Y330, IKO LOCKED SIM ONE NA TIGO TU NIPENI CODE WADAU
Unlock codes
 
Wabongo bhana daaa!!? Sa m nawezaje kujua password zako. Otherwise ungesema au hujamalzia kutoa maelezo
 
HUAWEI Y330, IKO LOCKED SIM ONE NA TIGO TU NIPENI CODE WADAU
Unlock codes
Hodi polisi, hodi tcra, nimeibiwa simu aina ya Huawei yenye (IMEI) INTERNATIONAL MOBILE EQUIPMENT IDENTIFICATIONS) HIZO HAPO JUU kwenye m-pesa kulikuwa na 150000000 na tiGO pesa ilikuwa 1000000 ila na hisi kuna mtu mdukuzi amefanyia backup and reset
 
huyu jamaa haelewi risk ya kitu alichokifanya, JamiiForums msaidie huyu mdau kufuta hii thread kabla hajalia

Mods wamsaidie kuondoa hizo IMEI number tu ila model ya sim waiache mbona wataalam wa hayo mambo ya ku Unlock watamuelewa tu na mambo mengne yataishia PM kwa atakaepatikana kumsaidia!
 
sawa mkuu, ila kwa haraka aroot simu then adownload mtk engineering mode then afungue hiyo ap aende sehem ya telephony scroll down kuna option ya ku unlock (sijaweka process zote atajiongeza mwenyewe)
 
Big up mkuu! Nadhani atakua kashakuelewa.
 
sawa mkuu, ila kwa haraka aroot simu then adownload mtk engineering mode then afungue hiyo ap aende sehem ya telephony scroll down kuna option ya ku unlock (sijaweka process zote atajiongeza mwenyewe)
mkuu kwa N2 vp nimejaribu MTK engineering bt haitoi hiyo option.
 
Mkuu hii njia ya kuUnlock simu kwa MTK Engineering ni common sana kwa hizi simu za tigo Tecno Y3+ ambazo ziko locked nadhan huu uzi ulikwisha kujadiliwa hapa muda kidogo ila kwa simu tofauti na hii tecno Y3+ nafkri kukubali ni kama bahati nasibu sina uhakika sana maana nmekwisha kujaribu kwenye aina ya tecno N6 Locked na Airtel ya jamaa angu lakini haikuleta option hiyo pia kama ilivyotokea kwako.
 
Hodi polisi, hodi tcra, nimeibiwa simu aina ya Huawei yenye (IMEI) INTERNATIONAL MOBILE EQUIPMENT IDENTIFICATIONS) HIZO HAPO JUU kwenye m-pesa kulikuwa na 150000000 na tiGO pesa ilikuwa 1000000 ila na hisi kuna mtu mdukuzi amefanyia backup and reset
Sawa unaeza kwenda polisi risiti si unayo?
 
sawa mkuu, ila kwa haraka aroot simu then adownload mtk engineering mode then afungue hiyo ap aende sehem ya telephony scroll down kuna option ya ku unlock (sijaweka process zote atajiongeza mwenyewe)
I know what i am doin man, Relax
 
Unasaidiwa harafu unaleta mbwembwe.
Mkuu nimesema najua ninachokifanya that is all sasa amenisaidia nini apo nimetaka Unlock code yeye analeta inshu zingine hio nini sasa nimesha washukuru kwa michango yao na nimewaambia Mpaka nineanika imei hapa ina maana sio mbumbu najua ninachofanya
 
Back
Top Bottom