MSAADA-jinsi ya kuboost page ya facebook.

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,208
4,406
mhali gani wadau.
nilikuwa napenda kujua ni jinsi gani naweza kuboost page ya facebook kwani kila napojaribu naona kuna sehemuza kujaza zilioandikwa YY mara DD
nini maana yake ?
 
Back
Top Bottom