Nahitaji msaada kwa anaeweza kunisadia au kunipa maelekezo jinsi ya kuanlock hii simu
Nimeitumia kama 10 months lakini kuanzia jumapili nimeamka inaomba Network unlock code
hyo image inaonuesha hakuna simcard kwenye cmu... inawezaje kidai network code km hakuna sim card?, na inawezekanaje cmu itumike to all networks then ghafla ije iwe ya cngle network?...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.