baraka clemence
Senior Member
- Sep 18, 2016
- 137
- 67
Samahan wana jf naomba mnisaidie natumia tecno c5 kuna tatizo kila nikimpigia mtu inaniandikia "call not sent limit exceeded" naitaj msaada jaman
reset simu yako au futa txtNami nna tatizo katika simu aina hyo hyo haikubali kutuma wala kupokea SMS msaada