Wataalam wa simu

Newera

Senior Member
Mar 8, 2017
132
202
Huawei inagoma kuroot inaishia asilimia 65 then inasema failed.

Anaejua msaada.
 
Kwanza download, install na launch KingoRoot Android(PC Venison) kisha connect simu yako kwenye pc yako kwa kutumia USB cable. Enable USB Debugging mode. ( kama iko enabled skip hiyo hatua). Click "ROOT" . unamaliza mchezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom