CRASHED HDD

Twin_Kids

JF-Expert Member
Feb 25, 2016
3,451
5,370
Habari zenu jameni.
Naulizia mtu anayeweza kurecover HDD iliyogoma kufanya kazi. Ukiiweka kwenye computer haionekani, ilikuwa na data 1.2TB. Ni kampuni gani inayoshughurika na hiyo kazi hapa Dar?
 
Kama sio hardware failure tunafanya recovery.
Ila kuna terms mbili inapaswa uzijue:
1. Data recovered itategemea na damage if any uliyoifanya kwenye data. Kama hakuna damage yeyote basi utapata data zote
2. Itabidi ulipe kati 100, 000 - 1 000 000 non refundable down payment. Unaweza kulipa zaidi au la kutegemeana na damage na efforts zitakazotumika kupata data zako na aina ya data.

Mwisho ni vema ukasema ilikuwaje mpaka ikawa haionekani
 
Habari zenu jameni.
Naulizia mtu anayeweza kurecover HDD iliyogoma kufanya kazi. Ukiiweka kwenye computer haionekani, ilikuwa na data 1.2TB. Ni kampuni gani inayoshughurika na hiyo kazi hapa Dar?
Kama ujapata bado ufumbuzi inbox me
 
Kama unavojua hizi electronics equipment!Nilikuwa natumia kama external,later ikagoma kuonekana,haijaanguka,badae nikiweka kama external,PC inahang, nikaiweka slave,machine ikiwaka haionekani. Najua East African Data Handlers in Kenya wanafanya, ila ni mbali japo niliwahi kufanya nao hiyo kazi
 
Kama ni hivyo then uwezekano wa kuzipata data ni mkubwa. Huwa hakuna guarantee ya kupata data asilimia 100 katika recovery yeyote (mpaka ikifika mwisho). So kama uko interested 0754710410
 
Kwa hiyo unataka kujaribu tu! Hakuna kitu mhimu kama data za mtu bhana. Ni hardware error,na yahitaji professuonal recovery siyo ya kijalibia mkuu
 
Okay Peleka basi ambako una uhakika asilimia mia wataweza ku recover.
Maana najua tabia yetu wabongo tukiambiwa ukweli ni kama matusi.
Pia hakuna mahali nilikwambia tutafanyia majaribio data zako.

Kila la kheri boss!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom