Mimi nimekuwa nikinunua bidhaa kupitia ebay.com, lakini sasa nilitaka kununua kitabu kupitia amazon.in imekuwa ngumu coz wao wanaship bidhaa zao ndani ya India, sasa nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia kujua ni namna gani au kuna courier ambaye anaweza kunipokelea mzigo wangu ndani ya India na akautuma Tanzania.
NB: kuna thread nimeiona ya Mwl.RCT kuwa anaweza kukununulia bidhaa kwenye masoko ya namna hiyo, mimi nahitaji kujua anatumia courier gani ili niweze kufanya mwenyewe pale ninapokuwa na shida.
NB: kuna thread nimeiona ya Mwl.RCT kuwa anaweza kukununulia bidhaa kwenye masoko ya namna hiyo, mimi nahitaji kujua anatumia courier gani ili niweze kufanya mwenyewe pale ninapokuwa na shida.