offshore server

offshore server

X.800

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2012
Posts
252
Reaction score
203
Habari wanatech,
kwa sasa natumia VPS ya jamaa hawa Aruba ila naona hawako anonymous na napokea warnings na report ya kufungiwa kutumia hii ya server kwa makosa ya copyrights kama torrents bla bla, nadhan watu wenye exprience ya kutumia hzi VPS wamenielewa, nilikuwa naomba list ya anonymous VPS za bei nafuu, ambzo utaweza lipa kwa mwezi pia iwe inasupport Linux, RAM min 1 GB. Asante.
 
Back
Top Bottom