MSAADA: Jinsi ya kurudisha mafaili ya Local Disk D

Lee

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
43,960
150,440
Wakuu natanguliza salam kwanza
Naomba tujuzane kama kuna uwezekano wa kurudisha mafaili ya disk tofauti na C kwenye PC, mfano PC ina partition 2 tu means local disc C na D na ikatokea ya data za disc D zikafutika

Nawezaje kuzirudisha hizo faili ??

Msaada tafadhali
 
Ni kitu ambacho interface yake inaeleweka sema usi run kweny partition ambayo unataka kufanya recover na usi save recovered data kweny partition ambayo ilipoteza hzo data
Asante mkuu japo inshort kwenye hayo mambo niko zero brain
 
Back
Top Bottom